Kiluang (pia Kilgona) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waluang kwenye visiwa vya Timor, Wetan na Babar. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiluang imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiluang iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.