Kiluhu (pia Kipiru) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waluhu kwenye visiwa vya Seram, Boano na Kelang. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kiluhu imehesabiwa kuwa watu 6500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiluhu iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluhu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.