Kiluxemburg (kwa Kiluxemburg: Lëtzebuergesch) ni lugha rasmi ya Luxembourg, jamii ya lugha za Kigermanik. Kinasemwa na watu 600,000 hivi.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluxemburg kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.