Kilyngngam ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Walyngngam. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kilyngngam nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 6000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilyngngam iko katika kundi la Kikhasian.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilyngngam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.