Kimberly Jayne Raver (amezaliwa tar. 15 Machi 1969) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.

Kim Raver

Kim Raver
Amezaliwa Kimberly Jayne Raver
15 Machi 1969 (1969-03-15) (umri 55)
New York City, New York

Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Nico Reilly katika kipindi cha TV cha Lipstick Jungle, Kim Zambrano katika kipindi cha TV cha Third Watch, na Audrey Raines katika kipindi cha TV cha 24.

Viungo vya Nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Raver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.