Audrey Louise Raines ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Glenn Morshower. Huyu ni binti wa Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. James Heller. Huyu ni kipenzi cha nyota wa mfululizo huu Bw. Jack Bauer.

Audrey Raines
muhusika wa 24

Kim Raver kama Audrey Raines
Imechezwa na Kim Raver
Misimu
4, 5, 6
Maelezo

Katika uhusika hariri

Viungo vya Nje hariri