Kim Dae Jung (Kikorea: 김대중 金大中) (6 Januari 1925 - 18 Agosti 2009) alikuwa rais wa zamani wa nchi ya Korea Kusini. Mnamo mwaka wa 2000, amepata Tuzo ya Nobel ya Amani. Huyu ndiye mtu wa kwanza kutoka Korea kupata Tuzo ya Nobel.[1]. Yeye ni Mroma tangu mwaka wa 1957, alikuwa kiitwa "Nelson Mandela" wa Asia [2]. Kim Tae Jung alikuwa rais na aliyekuja kupokelewa na Kim Young-sam kuanzia mwaka wa 1998 hadi 2003. Alizaliwa mjini Haui-do, Mkoani South Jeolla, kisiwa kilichopo kwenye Pwani ya Korea Kusini.

Picha ya Rais Kim.

Marejeo hariri

  1. Kim Dae-Jung Archived 8 Juni 2007 at the Wayback Machine. (Short Asian Week biography)
  2. Kim Dae-Jung Archived 22 Septemba 2006 at the Wayback Machine. (Short CNN biography)

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Tae Jung kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.