Kimaba (Chad)
Kimaba ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wamaba. Isichanganywe na lugha ya Kimaba izungumzwayo nchini Indonesia. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimaba imehesabiwa kuwa watu 296,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaba iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimaba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaba Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimaba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mde
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaba (Chad) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |