Kimadhi-Madhi
Kimadhi-Madhi (au Kimuthimuthi) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamadhi-Madhi katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimadhi-Madhi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimadhi-Madhi kiko katika kundi la Kikulin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimadhi-Madhi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimadhi-Madhi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimadhi-Madhi katika Glottolog
- lugha ya Kimadhi-Madhi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimadhi-Madhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |