Kimah-Meri (pia Kibesisi) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamah-Meri. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimah-Meri imehesabiwa kuwa watu 2990. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimah-Meri iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimah-Meri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.