Kimahali ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wamahali. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimahali nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 33,000. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Bangladesh (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimahali iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimahali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.