Kimajhi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wamajhi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimajhi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 20,400. Pia kuna wasemaji 24,400 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimajhi iko katika kundi la Kibihari.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimajhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.