Kimajhwar
Lugha ya Munda kutoka Uttar Pradesh, India
Kimajhwar ni lugha nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamajhwar. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimajhwar imehesabiwa kuwa watu 34,300. Uainishaji wa lugha wa Kimajhwar haujajulikana.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimajhwar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimajhwar Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimajhwar katika Glottolog
- lugha ya Kimajhwar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimajhwar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |