Kimakian-Magharibi
Kimakian-Magharibi ni lugha nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamakian kwenye visiwa vya Halmahera, Makian na Kayoa. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kimakian-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimakian-Magharibi ilikuwa imedhaniwa kuwa lugha ya Kiaustronesia kama Kimakian-Mashariki katika kundi la Kihalmahera-Kusini. Siku hizi lakini imeainishwa kama lugha ya Kipapua-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimakian-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimakian-Magharibi Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimakian-Magharibi katika Glottolog
- lugha ya Kimakian-Magharibi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakian-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |