Kimakian-Mashariki

Kimakian-Mashariki (pia Kitaba) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamakian kwenye visiwa vya Halmahera, Makian, Mori, Kayoa, Bacan na Obi. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kimakian-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimakian-Mashariki iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakian-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.