Kimakwe
Kimakwe ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji na Tanzania inayozungumzwa na Wamakwe. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimakwe nchini Msumbiji imehesabiwa kuwa watu 22,000. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakwe iko katika kundi la G40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimakwe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimakwe Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimakwe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ymk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |