Kimalay cha Bali
(Elekezwa kutoka Kimalay ya Bali)
Kimalay ya Bali ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Bali. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Bali imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Bali iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimalay ya Bali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimalay ya Bali Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimalay ya Bali katika Glottolog
- lugha ya Kimalay ya Bali kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Bali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |