Bali ni kisiwa cha Indonesia. Kiko katikati ya kisiwa cha Jawa upanda wa magharibi na kisiwa cha Lombok upande wa mashariki. Eneo la kisiwa ni 5614 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Denpasar. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa milioni 3.89. Watu wakaao kisiwani kwa Bali huongea Kimalay ya Bali ama Kiindonesia kama lugha yao ya kwanza, na wengi wengine huvitumia kama lugha za mawasiliano.

Bali_Indonesia_Pura-Tanah
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.