Kimalay cha Banda

(Elekezwa kutoka Kimalay ya Banda)

Kimalay ya Banda ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye visiwa vya Banda na Seram. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Banda imehesabiwa kuwa watu 3690. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Banda iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Banda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.