Kimaleng
Kimaleng (pia Kipakatan) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wamaleng. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimaleng nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 500. Pia kuna wasemaji 300 nchini Vietnam (1996). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimaleng iko katika kundi la Kichut.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimaleng kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaleng Ilihifadhiwa 24 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimaleng katika Glottolog
- lugha ya Kimaleng kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaleng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |