Kimalyangapa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamalyangapa katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimalyangapa, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalyangapa kiko katika kundi la Kiyarli.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalyangapa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.