Kimambwe-Lungu
Kimambwe-Lungu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Zambia inayozungumzwa na Wamambwe, Walungu na Wafipa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimambwe-Lungu nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 295,000 ambao 230,000 wao wlaikuwa Wafipa walioongea Kimambwe badala ya lugha yao ya Kifipa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimambwe-Lungu iko katika kundi la M10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimambwe-Lungu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimambwe-Lungu Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimambwe-Lungu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mgr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimambwe-Lungu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |