Kimanangkari

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kimanangkari ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wamanangkari katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha ya Kimanangkari, yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanangkari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.