Kimandandanyi
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kimandandanyi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamandandanyi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimandandanyi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandandanyi kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimandandanyi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimandandanyi Ilihifadhiwa 31 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimandandanyi katika Glottolog
- lugha ya Kimandandanyi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimandandanyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |