Kimangarayi ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wamangarayi katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kimangarayi ilihesabiwa kuwa watu kumi na watano tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani kwa uhakika.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimangarayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.