Kimarkesa-Kaskazini
Kimarkesa ya Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Wamarkesa, hasa kwenye visiwa vya Nuku Hiva, Ua Huka na Ua Pou. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimarkesa ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 5390. Wamarkesa ya Kaskazini wengi wanatumia lugha ya Kitahiti badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kimarkesa ya Kaskazini iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarkesa ya Kaskazini iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimarkesa ya Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimarkesa ya Kaskazini Archived 16 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimarkesa ya Kaskazini katika Glottolog
- lugha ya Kimarkesa ya Kaskazini kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimarkesa-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |