Kimarwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wamarwari. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimarwari imehesabiwa kuwa watu 5,600,000. Pia kuna wasemaji 22,600 nchini Nepal (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimarwari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.