Kimasana ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad na Kamerun inayozungumzwa na Wamasana. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimasana nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 130,000 na mwaka wa 1982 nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 103,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasana iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimasana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.