Kimasimasi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasimasi kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kimasimasi imehesabiwa kuwa wazee kumi tu, yaani lugha iko karibu na kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasimasi iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimasimasi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.