Kimasiwang (pia Kibonfia) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasiwang kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kimasiwang imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasiwang iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimasiwang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.