Kimayi-Kulan
Kimayi-Kulan kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayi-Kulan katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimayi-Kulan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayi-Kulan kiko katika kundi la Kimayabiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimayi-Kulan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimayi-Kulan Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimayi-Kulan katika Glottolog
- lugha ya Kimayi-Kulan katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimayi-Kulan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |