Kimayi-Yapi
Kimayi-Yapi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayi-Yapi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimayi-Yapi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayi-Yapi kiko katika kundi la Kimayabiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimayi-Yapi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimayi-Yapi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimayi-Yapi katika Glottolog
- lugha ya Kimayi-Yapi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimayi-Yapi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |