Kimbariman-Gudhinma

Kimbariman-Gudhinma kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wambariman katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimbariman-Gudhinma, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbariman-Gudhinma kiko katika kundi la Kimbariman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbariman-Gudhinma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.