Kimelanau cha Kati
Kimelanau ya Katikati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamelanau. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimelanau ya Katikati nchini Malayasia imehesabiwa kuwa watu 113,000. Pia kuna wasemaji 280 tu nchini Brunei (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimelanau ya Katikati iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimelanau ya Katikati kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimelanau ya Katikati Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimelanau ya Katikati katika Glottolog
- lugha ya Kimelanau ya Katikati kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimelanau cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |