Kiminjungbal kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waminjungbal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiminjungbal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminjungbal kiko katika kundi la Kibandjalangiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiminjungbal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.