Kiminriq ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Waminriq. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiminriq imehesabiwa kuwa watu 270 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminriq iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiminriq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.