Kimongo-Nkundu (lugha)
Lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kimongo-Nkundu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamongo-Nkundu. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimongo-Nkundu imehesabiwa kuwa watu 400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimongo-Nkundu iko katika kundi la C70.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimongo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimongo Archived 23 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimongo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lol
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimongo-Nkundu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |