Kimpiemo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Kamerun inayozungumzwa na Wampiemo. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kimpiemo nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 24,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Kamerun na wasemaji wachache nchini Jamhuri ya Kongo ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimpiemo iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje Edit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimpiemo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.