Kimser ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamser. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimser imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Pia kuna wasemaji wachache nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimser iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimser kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.