Makala hii kuhusu "Kimulikaji" inatumia neno au maneno ambayo si ya kawaida; matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Kimulikaji (kwa Kiingereza: phosphor) ni dutu inayong'aa na kutoa nuru ikiathiriwa na mwanga wa masafa tofauti.

Mfano wa Kimulikaji

Vimulikaji hutumiwa katika aina mbalimbali za taa.