Mwanga
Mwanga inaweza kumaanisha
- nuru
- mahali kama vile
- Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania
- Mwanga (mji), makao makuu ya Wilaya ya Mwanga
- Mwanga (Mkalama), kata ya wilaya ya Mkalama
- Mwanga Kaskazini, kata ya wilaya ya Kigoma Mjini
- Mwanga Kusini, kata ya wilaya ya Kigoma Mjini
- Mtu anayefanya vitendo viovu kwa nguvu za kichawi katika mazingira ya kutoonekana na watu wengine. Kadiri ya imani hiyo mara nyingi mwanga huingia ndani ya nyumba ya mtu pasi na kufungua mlango wala dirisha na kufanya kitu anachohitaji kwa mtu yeyote ndani ya nyumba hiyo pasi na kujulikana kwamba yumo ndani ya nyumba hiyo na nini anafanya.