Kimuluridyi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamuluridyi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimuluridyi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuluridyi kiko katika kundi la Kiyalandyiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuluridyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.