Kimunji ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan inayozungumzwa na Wamunji. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kimunji imehesabiwa kuwa watu 5300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimunji iko katika kundi la Kiajemi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimunji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.