Kimusey ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad na Kamerun inayozungumzwa na Wamusey. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimusey nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 209,000. Pia kuna wasemaji 20,000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimusey iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimusey kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.