Kimusgu

(Elekezwa kutoka Kimusgu (lugha))

Kimusgu ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun na Chad inayozungumzwa na Wamusgu. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimusgu imehesabiwa kuwa watu 61,500. Pia kuna wasemaji 24,400 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimusgu iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimusgu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.