Kimuskum
Kimuskum ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad iliyozungumzwa na Wamuskum. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kimuskum iko katika kundi la Kichadiki.
Mwaka wa 1976 kulikuwa na msemaji mmoja tu wa Kimuskum. Wamuskum wote wengine walikuwa wanatumia Kimusgu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimuskum kwenye Multitree
- lugha ya Kimuskum katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mje
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimuskum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |