Kinage ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanage kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinage imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinage iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinage kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.