Flores
Flores ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Sulawesi. Eneo la kisiwa ni 13,540 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Maumere. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 1,831,000 . Watu wakaao kisiwani kwa Flores huongea lugha mbalimbali, miongoni mwao ni Kingad'a, Kinage, Kike'o, Kiende, Kili'o na Kipalu'e.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|