Kinaka'ela ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wanaka'ela kwenye kisiwa cha Seram. Hakuna watu wawezao kuongea Kinaka'ela, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinaka'ela iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinaka'ela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.