Kinarrinyeri
Kinarrinyeri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wanarrinyeri katika jimbo la Australia Kusini. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kinarrinyeri ilihesabiwa kuwa watu 160, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinarrinyeri kiko katika kundi lake lenyewe la Kinarrinyeri.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinarrinyeri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinarrinyeri Archived 4 Februari 2019 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinarrinyeri katika Glottolog
- lugha ya Kinarrinyeri katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinarrinyeri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |